Yesterday,on our front page,we posted my exclusive interview with Manju Msita.Here is one of his designs.You can read the entire interview here.
Mimi huwa nina tabia ya “kusoma” picha. Ninaposema kusoma ninamaanisha naziangalia kwa makini sana.Naangalia mtu alichovaa na kisha naangalia pozi,tabasamu(kama umeacha kijinyama kwenye meno,usishangae nikikiona) na mambo mengine kibao.
Katika kusoma kwangu picha nimegundua kwamba watu wengi wanahangaika sana na pozi za picha.Ndio maana utakuta katika album nzima ya mtu(tizama ukurasa wa Facebook wa rafiki yako) picha zote ni kama zimefanana.Akiwa na picha ya kutizama pembeni ikatoka vizuri basi ndio mtakoma.Zote zinazofuata zitakuwa hivyo hivyo.Na hili ni tatizo la wanaume na wanawake,wavulana kwa wasichana.Kwa mfano utaona picha zote za wavulana vidole vipo mbele kuashiria alama aidha ya amani(V) na alama zingine za vidole ambazo hata hazina maana.Wengine huweka hata alama za Gangs ambazo kimsingi katika nchi zingine duniani zinaweza kukutia matatani ukihusishwa na kundi fulani wakati si ajabu hujui hata a wala b ya kundi hilo.Lazima kuwa makini.
Sasa kama wewe ni miongoni mwa wanawake(leo ni maalumu kwa kinadada) ambao ukiangalia album yako picha zako zote ni kama zinafanana,kwanini usijaribu pozi tofauti kidogo?Hujui pa kuzipata?Ushauri wangu unaweza kuanza kwa kujaribu hizi pozi alizoonyesha mwanamuziki Estelle katika photoshoot yake na Jarida la Evening Standard la mwezi huu wa Januari 2012 au tizama majarida mengine ujaribu pozi tofauti tofauti.Don’t stick with just one pose, explore more and you may be surprised how elegant and beautiful you may actually look.
Janet Jackson,not only a sister of the late Michael Jackson but a diva of her own make.How does she stay in shape? In case you have been asking yourself the same question, for the first time she shares her tips in a television commercial for Nutrisystem. I thought you could get one or two so I am gonna share the commercial with you below.I understand with the new year looming, one of your resolution could be to stay in shape.Goodluck
Jeniffer Lopez ana historia ndefu sana linapokuja suala la mavazi hususani katika awards mbalimbali.Hivi majuzi alifanya kweli…tena.Hiki ni kivazi alichotinga wakati wa American Music Awards hivi karibuni.Mmmh!

This lady never stop to make my definition of beauty and fashion on a high gear. She strikes me differently and from a completely different angle.Here she is when she stole the spotlight in a blue-and-blonde wig, floral bra, flowy skirt, and ruffled green jacket as she announced the nominations for the 2011 American Music Awards at the JW Marriott in downtown Los Angeles earlier today.Can you feel her?

There are rumors that Kelly Rowland has re-touched her boobs a bit.If those rumors are true,probably that’s a reason she is showing them off.


HUBLOT and Dwyane Wade team up to create this $20,000 piece. Only 500 are going to be made available to the public and the release is set for this fall.I would definitely like to own one!
This is how it all went down on the BET Awards 2011 Green Carpet.The carpet was actually green…no joke.It ain’t no more Red stuff..it’s green!

Alicia Keys

Drake

Nicki Minaj


sending...





