Home Interview

Category: Interview

Post

JAJI MSTAAFU JOSEPH SINDE WARIOBA NDANI YA “DAKIKA 45” ITV

Jaji Warioba. Endapo Tanzania itapata Katiba Mpya au la,jina la Jaji Mstaafu Joseph Sinde Warioba ambaye pia aliwahi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania litabakia katika sehemu muhimu sana ya historia ya nchi hii. Kwa heshima zaidi,hususani endapo Katiba Mpya itageuka kuwa ndoto, basi angalau historia hiyo hiyo itatoa hukumu halali kwamba yeye na wengine aliowaongoza...

Post

“NILIZALIWA NIWE MBUNIFU WA MITINDO”-MANJU MSITA

Mbunifu wa Mitindo,Manju Msita,akiwa kazini kwake. Ni siku ya Jumamosi,nipo jijini Dar-es-salaam tayari kabisa kwenda kuonana na miongoni mwa wabunifu wa mitindo (Fashion Designer) mahiri kabisa hapa nchini, Manju Msita. Tofauti na siku zingine za Jumamosi,leo hakuna msongamano mkali wa magari barabarani.Hii si kawaida sana kwani siku hizi jiji la Dar-es-salaam lina sifa mbaya ya...

Post

BC EXCLUSIVE: OUR INTERVIEW WITH FURAHA SAMALU ON DSTV’s CHANNEL 127(AFRICA MAGIC-SWAHILI)

Kwa takribani miezi minne sasa,watanzania na watu wote wanaoongea au kutumia lugha ya Kiswahili wamekuwa wakiburudika na kuelimika kupitia channel mpya kabisa ndani ya DSTV inayokwenda kwa jina Africa Magic Swahili inayopatikana katika namba 127. Hivyo hutokosea ukiamua kuiita Channel 127 ya DSTV.Kama bado hujapata fursa ya kutazama Channel 127,nakushauri ufanye hivyo leo hii. Nini...

Post

BC EXCLUSIVE: MAHOJIANO NA 20% JUU YA USHINDI WAKE WA TUZO 5 ZA KILI MUSIC AWARDS 2011

Zoezi la utoaji wa Kili Tanzania Music Awards lilipomalizika hapo juzi pale Diamond Jubilee Hall jijini Dar-es-salaam,jina moja lilibakia katika vinywa na bongo za mashabiki wa muziki na wote waliofuatilia tuzo hizo.Jina hilo sio lingine bali la Abbas Hamisi au maarufu kama kwa jina la kisanii la 20%. Kijana huyo mzaliwa wa mkoa wa Pwani...