Home Jamii

Category: Jamii

Post
They Drank Themselves To Death!

They Drank Themselves To Death!

Life in Tanzania is getting harder. Tough. That is the complaint I hear every day. Unfortunately, like in any other economy, there are many theories. If you ask the politicians, they don’t seem to know exactly what is going on. Instead, they throw tantrums. Blame games. Those who complain were thieves and corrupt. They should...

Post
Picture Of The Day: Jokate Mwegelo With The Spirit Of Giving

Picture Of The Day: Jokate Mwegelo With The Spirit Of Giving

I usually love this young lady fashion sense. But this look plus what the day was all about made me have chills and just made me love her even more. She chose this(block colour) outfit that showed love, strength and purpose. Her dress is from Angie’s Fashion Store. Even though I couldn’t shy away from...

Post

Dalili 21 Kwamba Mtoko Wenu Hauendi Vizuri!

Hii inawahusu vijana zaidi. Mwanzo mwa mahusiano ya mapenzi ni jambo ambalo hutia hofu. Kuna watu hupatwa na mchecheto mpaka wanaugua. Mmekutana huko mitandaoni. Hamjuani. Mkapeana namba za simu na leo mmeamua kukutana ana kwa ana au uso kwa uso kama wasemavyo vijana wa mjini. Ghafla unaanza kuona mambo hayaendi kama ulivyotarajia. Ghafla ucheshi uliokuwa...

Post

The Bubbles Of Meninah

I sometimes wish I was a script writer [one day may be]. The above title could have been my next movie. Yeah the Bubbles Of Meninah. I have seen a lot and with open ears like a chipmunk, I hear a lot. Some things shocks me. Some annoys me and as you can imagine, I...

Post

TV COMMERCIAL YA “BANGI HALALI” NCHINI MAREKANI

Bila shaka ushasikia kwamba nchini Marekani, katika majimbo  kama vile Colorado, hivi sasa ni ruksa kununua bangi na kutumia kwa matumizi binafsi na pia ya kitabibu [medical marijuana].Pia sehemu nyingi za nchi Marekani na Canada zinatoa ruksa maalumu kupitia kwa madaktari[medical prescription], kuvuta bangi aka ganja kama tiba mbadala wa maradhi mbalimbali yakiwemo ya akili....

Post

INTERVIEW: JAMII PRODUCTION WITH JANUARY MAKAMBA

Karibu katika mahojianokati ya Jamii Production na Mhe January Makamba. Mbunge wa Bumbuli na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia. Ameeleza mengi na kujibu maswali ya wasikilizaji wetu waliyouliza kupitia ukurasa wetu wa Facebook [youtube:http://www.youtube.com/watch?v=lXtpaJUXqL8] PART I [youtube:http://www.youtube.com/watch?v=6AJBfbqaTYc] PART II Share on: WhatsApp

Post

ARUSHA AFRICAN FILM FESTIVAL 2013

MAANDALIZI ya tamasha kubwa la filamu lijulikanalo kwa jina la Arusha African Film Festival yanaendelea vizuri na kila kitu kinaenda kama kilivyopangwa, tamasha hilo ambalo linategemegea kuonyesha zaidi ya filamu 70 kutoka nchi 20, litambatana na utoaji wa semina ya utengenezaji wa filamu kwa watengeneza filamu ambao watajisajili kwa ajili ya Semina hiyo ambayo ni...