Jumamosi imekaribia. Mashabiki wa soka duniani wanalo la kuzungumzia, kujadili na kisha siku ya siku kujumuika kwa pamoja kushuhudia mechi kali na ya aina yake. ...
Huu wimbo ulitoka rasmi wiki iliyopita. Kwa makusudi sikuuweka hewani. Nilikuwa na bado nina maana yangu. Ukiendelea kusoma bila shaka utanielewa.
Kila kizazi kina tabia au ...
Wasanii mbalimbali kutoka Nigeria, Kenya na Afrika Kusini wanatarajiwa kupamba shughuli ya kuanza kwa msimu mpya wa show kabambe ya Big Brother Africa siku ya ...
Ni muda kidogo hatujasikia kitu kutoka kwa Abby Skills ambaye kwa watu wanaokumbuka enzi zile Bongo Fleva inaanza kushika kasi, mtamkumbuka vizuri. Huu hapa ni ...
Pichani Professor Jay akiwa na Kiboya,mdau mkubwa wa muziki nchini ambaye pia ni mwanachama wa CHADEMA. Picha kwa hisani ya Twitter ya Professor.
Habari ambazo zinatambaa ...
Yawezekana hukupata nafasi ya kuangalia baadhi ya mambo yaliyojiri jana wakati wa Billboard Music Awards ambazo zilitangazwa kutokea Las Vegas,Nevada-mji wa kila aina ya dhambi ...
Prodyuza Tudd Thomas.
MASHABIKI wa mtayarishaji wa muziki (Producer), mwenye uwezo wa kipekee, aliyetayarisha wimbo wa Leka dutigite wa Kigoma All Stars na zingine nyingi, Tudd ...
Yanga wakifurahia mojawapo ya magoli kutoka katika mechi hiyo. Picha kwa hisani ya Bin Zubeiry Blog
Timu ya soka ya Yanga, jioni hii imewadhihirishia mashabiki wao ...
Takribani miaka 11 imepita tangu Eve alipotoa album yake ya mwisho. Habari njema ni kwamba sasa amerejea tena katika ulingo. Album yake ambayo imeshatoka inaitwa ...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Mama Maria Nyerere, Naibu Waziri wa Afya Dr. Seif Rashid wakipozi na wakuu wa mikoa ...
Huu hapa ni wimbo mpya kutoka kwa msanii Bonface Mateza.
Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.
Well…over the weekend is a great time to review some of the stuff we have in the inbox from artists, managers and promoters. That is one thing I love about my life and a section of my line of work. I love music. Music has been an important part of my life. I have mentioned to quite a number of friends and confidants that I can literally count number of times where music or a message from music has saved the very important thing’LIFE.
However, when it comes to review what I am sending it online, music listening becomes more intense. I am forced to listen with 3 or 4 ears. What is the message? How is the arrangement. Who is the artist etc. When it comes to online publication, I try to make sure that what goes needs to go. It is a policy.
Enough said, here is the track from Papaa Masai Feat. Ali Kiba. As we know, Kiba is already successfully. He is now trying to help others. Here is the song titled Ng’ariNg’ari. Listen
Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.
Msanii Omary Mubba aka Ommy G anaitambulisha rasmi nyimbo yake mpya inaitwa MOLA NISAMEHE chorus amemshirikisha Salu B, Prodyuza Kisaka wa Emotion Records. Sikiliza
Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.
Jina lake halisi ni Robert Shigemelo ila jina la kisanii ni Desturi! Ni msanii wa kizazi kipya wa Hip Hop. Huu wimbo wa DARASA HURU ni wimbo wake wa kwanza alioufanya katika studio za AMBA Records chini ya usimamizi wa Producer Amba. Amemshirikisha msanii Soprano katika Chorus.
Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.
Pata ngoma mpya ya chipukizi wa Swahili Sweet Raggae and Bongo Flava anayekwenda kwa jina la MARLEY.
Ngoma imefanyika pande za Dirty Mode Records na Producer ni Triss.
Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.
Huyu ndiye J One, Msanii katika mahadhi ya Bongo Flava kutoka katika mji wa madini Kahama. Anatambulisha Ngoma yake mpya ikiambatana na Video akimshirikisha Msanii wa Mwanza Baraka Prince, Ngoma Inakwenda kwa jina la Kisharo sharo.
Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.
Unaweza kuipata video ya J One ft Baraka Prince- Kisharo Sharo
Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.
Song Details
Artist : Criss ft Paddy
Song : Niambie
Studio : International Quality
Producer : JB