Home Katiba Mpya

Category: Katiba Mpya

Post

JAJI MSTAAFU JOSEPH SINDE WARIOBA NDANI YA “DAKIKA 45” ITV

Jaji Warioba. Endapo Tanzania itapata Katiba Mpya au la,jina la Jaji Mstaafu Joseph Sinde Warioba ambaye pia aliwahi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania litabakia katika sehemu muhimu sana ya historia ya nchi hii. Kwa heshima zaidi,hususani endapo Katiba Mpya itageuka kuwa ndoto, basi angalau historia hiyo hiyo itatoa hukumu halali kwamba yeye na wengine aliowaongoza...

Post

HOTUBA YA MWENYEKITI WA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA MHE. JOSEPH WARIOBA KATIKA MKUTANO WA WAANDISHI WA HABARI TAREHE 19 JUNI, 2012,KARIMJEE, DAR ES SALAAM

Ndugu Wanahabari, Nianze kwa kuwashukuru kwa kuitikia mwaliko wetu. Tume ya Mabadiliko ya Katiba ilianza kazi mwanzoni mwa Mwezi Mei, 2012 na kipindi hiki tumekitumia kwa maandalizi na sasa tuko tayari kuanza awamu ya kwanza ya kazi yetu, yaani kukusanya na kuratibu maoni ya wananchi. Baada ya hapo itafuata awamu ya pili ya kuandaa taarifa,...