Home Katuni

Category: Katuni

Post

KIPANYA NA FINA MANGO

  Ukiwa jijini Dar-es-salaam na kwingineko popote inaposikika Clouds FM (88.4) nchini Tanzania na ukafungulia redio yako kuanzia saa 12 mpaka saa 3 asubuhi, watangazaji Ali Masoud maarufu kama Masoud Kipanya (pichani aliyesimama) na Fina Mango (aliyeketi) watakusaidia kuianza siku yako vyema kwa habari mbalimbali zinazoambatana na burudani. Kipindi chao kinaitwa Power Breakfast. Masoud Kipanya...

Post
KWA KINA NA MASOUD KIPANYA(KP)

KWA KINA NA MASOUD KIPANYA(KP)

Ukiiona katuni yake gazetini, huhitaji kutambulishwa au kusaka sana jina la mchoraji hata pale anapokuwa hajaweka sahihi yake. Taswira yenyewe ya katuni itakueleza. Ni katuni ambayo imekuwa sehemu ya maisha ya watanzania kwa miaka mingi sasa. Wengi wetu tunamfahamu kama Masoud Kipanya. Lakini je hilo ni jina lake halisi? Alianza lini shughuli za uchoraji? BongoCelebrity...