Home Kutoka Maktaba

Category: Kutoka Maktaba

Post

DUDU BAYA

Jina lake kamili ni Godfrey Tumaini. Kwa wengi anajulikana kama “Dudu Baya”. Ni miongoni mwa wasanii wa muziki wa kizazi kipya ambao waliwahi kutamba na kujipatia umaarufu ingawa mara kwa mara amekuwa akiandamwa na sifa ya ‘ugomvi’ jambo ambalo ni vigumu kulithibitisha bila kusikia pande mbili za shilingi. Albamu yake ya kwanza aliitoa mwaka 2000...