‘Tamasha’ Category

KILI MUSIC TOUR 2013 NDANI YA KAHAMA

Wakonge katika game la Muziki wa Bongo Fleva hapa nchini,Prof. Jay (kulia) na Mwanadada Lady Jay Dee a.k.a Binti Komando wakifanya yao stejini… 0

FIESTA 2010:LIL KIM,BRACKET NDANI!

Wapenzi wa burudani, hususani ya muziki, wa jijini Dar-es-salaam na sehemu mbalimbali za Tanzania,jumamosi ijayo wanatarajia kupata burudani ya aina yake wakati wa… 1

JHIKOMAN NDANI YA EXETER RESPECT FESTIVAL

Majira ya joto katika nchi za ughaibuni ni majira ambayo huambatana na maonyesho mbalimbali ya sanaa na michezo ya nje. Summer huwa ni… 2

NIMENG’ATUKA + UZINDUZI WA ALUTA CONTINUA!

  Baada ya kusubiriwa kwa muda mrefu,hatimaye wakati umewadia.Tunaongelea uzinduzi rasmi wa albamu mpya kutoka kwa mwanamuziki mahiri wa muziki wa kizazi kipya,… 28

K-CI & JOJO NDANI YA BONGO

Wanamuziki waliowahi kutamba kutoka nchini Marekani,K-Ci & Jojo wapo nchini Tanzania kwa onyesho moja tu litakalofanyika leo usiku ndani ya Movenpick Hotel jijini… 25

PASAKA NA AFANDE SELE

Wakazi wa Morogoro,mikoa ya jirani na vitongoji vyake,jumapili hii,yaani Jumapili ya Pasaka, watapata burudani ya aina yake kutoka kwa Mfalme wa Rhymes wa… 5

NANI MKALI?

Kama wewe ni mfuatiliaji wa maendeleo ya muziki ujulikanao kama wa kizazi kipya au bongo flava nchini Tanzania basi sio ajabu utakuwa ushasikia… 17

JAH KIMBUTE IS BACK

  Huwezi kuongelea muziki wa reggae nchini Tanzania bila kumtaja Jah Kimbute(pichani).Kimbute ndio anasemekana kuwa muasisi wa midundo ya reggae nchini Tanzania.Siku za… 24

OLIVER MTUKUDZI NDANI YA TZ HIVI KARIBUNI

Mmoja kati ya wanamuziki magwiji na maarufu barani Afrika,Oliver Mtukudzi “Tuku” kutoka nchini Zimbabwe anatarajiwa kufanya maonyesho “live” jijini Dar-es-salaam na Arusha hivi… 12

SANAA BAGAMOYO

  Tamasha la Sanaa na Utamaduni linalofanyika chini ya uaandaaji na usimamizi wa Chuo Cha Sanaa Bagamoyo kila mwaka ni mojawapo ya matukio… 1

Copyright © Bongo Celebrity