Home #TBT

Category: #TBT

Post
#TBT:”Zali La Mentali”- Professor Jay

#TBT:”Zali La Mentali”- Professor Jay

Kabla hajawa Professor Jay, alikuwa na majina mengine lukuki. Miongoni mwa nyimbo zake zilizopendwa ni pamoja na Zali La Mentali akiwa amemshirikisha Juma Nature. Ni kisa na mkasa wa maisha. Zali linaweza kukuangukia. Ila sio uishi ukitegemea “zali”. Kazi ni muhimu. Hii ndio #TBT yetu ya leo Share on: WhatsApp