Home The Interview(Mahojiano)

Category: The Interview(Mahojiano)

Post

INTERVIEW:JACQUELINE WOLPER ON THE SPORAH SHOW[FULL SHOW]

The Tanzanian movie industry [Bongowood-if we can actually give it that name] isn’t as colorful and fabulous as Hollywood,Bollywood and even Nollywood[Nigeria version]…not yet. If it was to be compared with a mug, it could just as wise to say the handle is still missing. You can hold it and drink from it but you’ll...

Post

SALMA MSANGI: KULIKO UNAVYOMJUA NA ULIVYOWAHI KUMSIKIA [INTERVIEW]

Maisha ni safari ya aina yake. Ndani ya safari moja, zipo nyingine nyingi. Pengine ukweli huo ndio chanzo cha ule usemi kwamba safari moja huanzisha nyingine. Kilicho muhimu ni kwanza kuianza safari yenyewe[moja].   Ninachokiongelea hapo juu kina ukweli zaidi katika maisha ya Salma Msangi ambaye leo kwa wengi ni mtangazaji wa luninga na radio...

Post

MKASI-SO4E13 WITH ABBY COOL

Abdallah Mrisho ni jina ambalo, kwa wale waliopo kwenye tasnia ya habari, sio geni hata kidogo.Ni mwandishi wa muda mrefu na hivi sasa ni Meneja Mkuu wa Global Publishers ambao ni wachapishaji wanaoongoza wa magazeti “Pendwa” au ukipenda ya Udaku. Alibariki viti vya Amaya Beauty Salon & Spa(Salon na Spa pekee katikati ya jiji yenye...

Post

ONE-ON-ONE NA CEO WA “KIDOTI LOVING”,JOKATE MWEGELO…

Tulipokuwa tunaelekea mwishoni mwa wiki iliyopita,kuna jambo jipya lilikuwa linatokea. Jokate Mwegelo ambaye kwa wengi hahitaji utambulisho wa kina,alikuwa akizindua kampuni yake inayokwenda kwa jina la Kidoti Loving ambayo itajikita zaidi katika bidhaa mbalimbali zinazoendana na masuala ya urembo.Kwa kuanzia, Jokate alizitambulisha aina nane za nywele(weaving) ambazo Kidoti Loving tayari imeshaziingiza sokoni. Baada ya pale...

Post

IN CASE YOU MISSED IT: MKASI-SO4E01 WITH DIAMOND

Bila shaka,mojawapo ya kipindi cha Mkasi kilichokuwa kinasubiriwa kwa hamu na wengi ni pamoja na kile kilichorushwa wiki moja iliyopita huku kwenye kiti cha Mkasi akiwa ni Diamond.Zipo sababu nyingi zinazoweza kuwa zimechangia kuamsha hisia hizo; Ni ukweli usiopingika kwamba katika medani ya muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania,Diamond anafanya vizuri sana hivi sasa.Ni wakati...

Post

“WAMILIKI WA JAMII FORUMS NI WATANZANIA WANAOITUMIA”-MAXENCE MELO (MAHOJIANO MAALUM)

Tukiamua kubishana,tunaweza kufanya hivyo. Lakini endapo mwisho wa ubishi huo tutaamua kukubaliana,basi sina shaka kwamba sote tutakubaliana kwamba; miongoni mwa mitandao inayotembelewa na yenye ushawishi mkubwa na wa aina yake miongoni mwa watanzania wengi,mtandao wa Jamii Forums au kwa kifupi JF hauwezi kukosa katika orodha hiyo. Lakini tofauti na mitandao mingine ambayo kimsingi imekuwa ikiendeshwa...

Post

MKASI-SO2E18 WITH LAWRENCE MASHA;LAWYER,BUSINESSMAN AND POLITICIAN

Kama bado hujajiwekea utaratibu wa kuangalia kipindi cha Mkasi kila siku ya Jumatatu Usiku Saa Tatu na Nusu kupitia EATV,ni wazi kwamba unakosa mengi.Kuna mengi ya kujifunza kutoka kwa wageni wa Salama Jabir ambaye ndio anayeongoza kipindi hicho akisaidiwa kwa karibu na wenzake Mubah na John. Kwa mfano,wiki iliyopita,Salama aliongea mambo kadhaa na aliyewahi kuwa...

  • 1
  • 2