Home Tume Ya Katiba Tanzania

Category: Tume Ya Katiba Tanzania

Post

HOTUBA YA MWENYEKITI WA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA MHE. JOSEPH WARIOBA KATIKA MKUTANO WA WAANDISHI WA HABARI TAREHE 19 JUNI, 2012,KARIMJEE, DAR ES SALAAM

Ndugu Wanahabari, Nianze kwa kuwashukuru kwa kuitikia mwaliko wetu. Tume ya Mabadiliko ya Katiba ilianza kazi mwanzoni mwa Mwezi Mei, 2012 na kipindi hiki tumekitumia kwa maandalizi na sasa tuko tayari kuanza awamu ya kwanza ya kazi yetu, yaani kukusanya na kuratibu maoni ya wananchi. Baada ya hapo itafuata awamu ya pili ya kuandaa taarifa,...