‘UEFA EURO 2016’ Category

EURO 2016: Fainali- Nani Atanyakua Kombe? Utabiri Na Mambo Yote Muhimu Unayohitaji Kuyafahamu

Hatimaye michuano ya Euro 2016 (Kombe La Mataifa Ya Ulaya La Soka) iliyoanza tarehe 10 Juni 2016 inafikia ukingoni Jumapili hii tarehe 10… 0

Euro2016: Wales Waifungashia Virago Belgium Na Kutinga Nusu Fainali

Goli moja la kipindi cha kwanza na mawili ya kipindi cha pili yalitosha kwa Wales kuifungashia virago timu ngumu ya Belgium na wao… 0

Euro 2016: Ureno(Portugal) Yatinga Nusu Fainali Baada Ya Kuitoa Poland Kwa Mikwaju Ya Penati

Wakiongozwa na mshambuliaji wao Christiano Ronaldo ambaye ndio nahodha,timu ya Ureno (Portugal) imekuwa ya kwanza kukata tiketi ya kucheza nusu fainali ya michuano… 0

Euro 2016: Uingereza Wapandishwa Ndege Kurudi Kwao Na Iceland Kwa Kuchapwa 2-1

Katika kila mashindano timu moja huwa ina kelele kushinda wengine. Kwenye mashindano ambayo Uingereza wanashiriki, hakuna wa kuwashinda kwa kelele. Wanaongea kupitia magazeti… 0

Euro 2016: Mabingwa Watetezi Spain Watupwa Nje Baada ya Kipigo Cha 2-0 Dhidi ya Italia

Mabingwa watetezi wa Kombe la Mataifa ya Ulaya,Spain, wametupwa nje baada ya kukubali kipigo cha goli 2-0 kutoka kwa mahasimu wao wa mwaka… 0

Euro 2016: Ujerumani Ndani Ya Robo Fainali.Yaipa Slovakia Kichapo Cha 3-0

Timu inayoshikilia ubingwa wa dunia hivi sasa,Ujerumani, imefanikiwa kuingia katika robo fainali ya michuano ya Euro 2016 baada ya kuichapa Slovakia kwa 3-0… 0

Euro 2016: Ufaransa Yaichapa Ireland 2-1 Na Kutinga Robo Fainali

Wenyeji wa michuano ya Euro 2016, Ufaransa, wametinga robo fainali ya michuano hiyo baada ya kuwanyuka Ireland kwa magoli 2-1. Iliwachukua Ireland dakika… 0

Hivi Ndivyo Hatua Ya Mtoano Euro 2016 Inavyoanza Wikiendi Hii

Baada ya hatua ya makundi, kinachofuata ni hatua ya mtoano kwenye Euro 2016. Kosa moja ina maana unakwenda nyumbani. Mwisho wako wa mashindano…. 0

Euro 2016: Portugal Yapenya Kwenye Tundu La Sindano. Timu Zinazosonga Mbele Hizi Hapa

Shujaa wa siku ya leo kwenye michuano ya Euro 2016 ni Christiano Ronaldo. Nyota huyo anayechezea Real Madrid sio tu amefanikiwa kuivusha Portugal… 0

Euro 2016: Spain Yachapwa 2-1 Na Croatia/Turkey 2 Czech Republic 0

Mabingwa watetezi wa Kombe la Mataifa ya Ulaya,Spain, leo wamejishtukia wakimaliza hatua ya makundi kwa kichapo cha goli 2-1 kutoka kwa Croatia ambayo… 0

Copyright © Bongo Celebrity