‘Wachezaji’ Category

DStv SUPERSPORT: MSIMU MPYA WA SOKA, HUDUMA MPYA

┬áMeneja Uendeshaji wa Kampuni ya MultiChoice Tanzania,Ronald Baraka Shelukindo (kushoto) akitoa maenezo ya huduma mbali mbali zinazorushwa na Televisheni yao ya DStv pamoja… 0

SHUHUDIA KABUMBU LAIVU KUPITIA DStv

KWA TAARIFA ZAIDI NA MATUKIO ZAIDI TEMBELEA www.dstv.com au bonyeza hapa.

HASHEEM ATAJIUNGA NA TIMU GANI?

Kwa mapana na marefu,jina la Hasheem Thabeet litatawala vichwa vya habari wiki hii.Swali au maswali ambayo wengi wanajiuliza ni je Hasheem Thabeet atajiunga… 5

MR & MRS MRISHO NGASSA

Mshambuliaji hatari wa timu ya soka ya Yanga, Mrisho Ngassa hapo jana alijipatia “jiko”. Amemuoa Latifah Abdulhaman. Ndoa ilifungiwa huko Tabata Kisiwani. Hivi… 14

HONGERA YANGA KWA UBINGWA!Lakini…

Tuende mbele turudi nyuma,ukipata nafasi ya kuchezea Yanga au Simba basi suala la umaarufu au u-celebrity halina mjadala sana.Wapo watu lukuki ambao watalijua… 1

AHMED AMASHA

Mojawapo ya majina yaliyovuma sana katika ulimwengu wa soka nchini Tanzania,hususani miaka ya themanini, ni lile la Ahmed Abdulthabit Amasha(pichani).Ahmed Amasha alikuwa ni… 19

IVO MAPUNDA

  Hapo zamani kulikuwa na majina kama Athumani Mambosasa, Juma Pondamali,Joseph Fungo,Sahau Kambi, Iddi Pazi, Mohamed Mwameja na wengineo. Hao wote walikuwa ni… 8

“UHUNI NI TABIA YA MTU”-AISHA MADINDA.

Leo hii anaaminika kuwa mnenguaji wa kike maarufu kupita wote nchini Tanzania hususani katika muziki wa dansi. Ubunifu,uwezo wake katika kunengua na kujituma… 48

TUMESHINDWA!

Pichani Raisi Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa na wachezaji wa Taifa Stars na makocha wao alipowatembelea kambini kwao katika hoteli ya Golden Tulip jijini… 8

UNAMKUMBUKA LAWRENCE MWALUSAKO?

Kwa mpenda soka ya Tanzania yeyote yule, hususani mnamo miaka ya themanini,jina Lawrence Mwalusako sio geni hata kidogo. Alikuwa sio tu kipenzi cha… 24

Copyright © Bongo Celebrity