Recent Articles
“See You Again”- My Dedication To Lt.Col. Pascal Haule [Rest In Peace]

See You Again- My Dedication To Lt.Col. Pascal Haule [Rest In Peace]

If you have seen Furious 7, (a continuation and probably the final chapter from Fast & Furious Series), you must have been touched by the ...

Read More

Fight of the Century only on DStv’s SuperSport

Fight of the Century only on DStv’s SuperSport

The Fight of the Century between Floyd Mayweather and Manny Pacquiao on May 2 will be broadcast live across Sub-Saharan Africa only on DStv’s SuperSport. The ...

Read More

Tangazo La Msiba Wa Lt.Col Pascal Stephen Haule(Mstaafu)

Tangazo La Msiba Wa Lt.Col Pascal Stephen Haule(Mstaafu)

Familia ya Lt.Col. Pascal Stephen Haule ya Kiluvya Gogoni inasikitika kutangaza kifo cha mpendwa wao Lt. Col. Pascal Stephen Haule (mstaafu)  kilichotokea tarehe 10/4/2015 katika ...

Read More

“Give Me Love”- Lady Jay Dee Feat. Mazet & Uhuru (Listen And Download)

Give Me Love- Lady Jay Dee Feat. Mazet & Uhuru (Listen And Download)

Through music we talk. Through music we express ourselves. The rhythm gets all of us moving. It can uplift anyone from the ground up. Remember ...

Read More

Diamond And Zari: They Surely Know How To Attempt to “Break The Internet”

Diamond And Zari: They Surely Know How To Attempt to “Break The Internet”

The world has changed. It’s no longer what grandpa used to know. The argument of course is whether it has changed for better or worse. ...

Read More

Watch: See You Again- On The Voice By Wiz Khalifa

Fresh from a love come back with his bae Amber Rose, Wiz Khalifa ignited the stage of The Voice alongside the show’s Season 7 alumni ...

Read More

President Obama Visits Bob Marley Museum In Jamaica

President Obama Visits Bob Marley Museum In Jamaica

US President,Barack Obama has taken a tour of the Bob Marley museum in Jamaica after becoming the first US president to visit the country since ...

Read More

“Nitulize”- Dayna Nyange Feat. Nay Wa Mitego (Listen And Download)

Nitulize- Dayna Nyange Feat. Nay Wa Mitego (Listen And Download)

Here is a new one from Dayna Nyange Feat Nay Wa Mitego. The song is titled Nitulize (literal translation "cool me down"). I somehow expected ...

Read More

Amber & Wiz: A Love Story

Amber & Wiz: A Love Story

I read somewhere that divorce is one among three things feared most by human beings. I guess you can get the rest. I can think ...

Read More

How President Kikwete Measures Up His Legacy

How President Kikwete Measures Up His Legacy

Last week, President Jakaya Mrisho Kikwete spoke at Wilson Centre in Washington DC. He used that rare opportunity and honour to highlight some of his ...

Read More

Highlighting: Ambassador Amina Salum Ali

Highlighting: Ambassador Amina Salum Ali

Over the weekend I had a good discussion with a long time friend of mine, Michael, on a variety of issues. It was one of ...

Read More

Charles Hillary Joins Azam TV

Charles Hillary Joins Azam TV

I grew up listening to Charles Hillary. To me, and to everyone else, he was the master broadcaster. Back then TV was such a luxury ...

Read More

Flaviana Matata On Kiko Milano’s Modern Tribes Campaign

Flaviana Matata On Kiko Milano's Modern Tribes Campaign

Her modeling resume keeps flying high like a kite on a sunny and windy summer day. I am talking about Flaviana Matata a Tanzanian born ...

Read More

“Nashindwa”-Christian Bella [BrAnD NeW]

Nashindwa-Christian Bella [BrAnD NeW]

Here is the new video for the song Nashindwa from Christian Bella. You can download the song by following this link   https://www.youtube.com/watch?v=dOST-3tht7Y

Read MoreDStv 1

Ni mwisho wa wiki. Nyumba imejaa wageni. Umewaalika marafiki zako kushuhudia mechi kali ya kukata na shoka. Nyuma ya nyumba moshi unafuka. Nyama (nchi za magharibi hupenda kuita barbeque au “BBQ”) inaandaliwa na mapochopocho mengine kibao. Kila mpita njia anajiuliza kunani pale leo. Majirani zako hawashangai sana. Umekuwa mstaarabu kwa kuwaambia kinachojiri na wengine umewaalika. Mke na watoto wamekwenda kuwasalimia wazazi wako. Wanajua kabisa panapokuwa na mechi kubwa kama hii, unakuwa upo lakini haupo. Wamekupisha.

 

Rafiki zako wanazidi kumiminika. Bahati nzuri una nyumba yenye nafasi ya kutosha.Kila mmoja akiwa ametilia jezi ya timu aipendayo. Mara ya mwisho ulipokutanisha marafiki zako namna hii, mambo hayakwenda vizuri kwa upande wako. Mlichapwa 3-0. Ulinuna kiasi kwamba marafiki zako ilibidi waondoke kimya kimya wakiwemo wale mnaoshabikia timu moja.

 

Leo ni siku tofauti.Una uhakika zaidi wa ushindi. Umekuwa msimu mzuri kwenu tangu kocha Mreno alipochukua mikoba. Kila anayeingia amekuja na vinywaji. Ungedhani kuna “Bottle Party”. Kama ilivyo kawaida kunako mechi kubwa za namna hii,utani wa jadi umepamba moto. Leo lazima tuwanyamazishe. Hamtoki wala kuchomoa. Umejawa na shauku kiasi kwamba umehakikisha rafiki yako Tanesco leo hakati umeme!

 

Hatimaye rafiki yako mtangazaji wa kipindi cha michezo katika radio maarufu anaingia. Kila mtu anafurahia kama vile magoli ndio yameshaanza kumiminika. “Mbona bado hamjawasha TV? Hamjui raha ya mechi ni uchambuzi wa awali pia?”, anang’aka rafiki yako kwa sauti yake inayomfanya awe mtangazaji mahiri na anayesikilizwa na watu wengi zaidi.

 

“Kweli aisee”, unakubaliana naye na kujongea kwenye TV. Unaitunza na kuipenda sana TV yako ambayo ni zawadi kutoka kwa mkeo mlipokuwa mnatimiza miaka 10 ya ndoa. Leo siku nzima hujaigusa. Ulikuwa “bize” na maandalizi na pia ulitaka ipumzike nayo iwe tayari kwa mpambano. Unaiwasha na mara moja unagundua kwamba umefanya kosa la mwaka! Ulisahau kulipia akaunti yako na hivyo umekatiwa. Kijasho chembamba kinaanza kutiririka kwenye paji la uso. Aibu.

 

“Naona umekatiwa huduma Amazing”, anakupa ukweli rafiki yako kwa kutumia jina la utani walilokupachika. “Usiwe na wasiwasi, ngoja nikwambie cha kufanya”, anadakia rafiki yako mwingine mtaalamu wa masuala ya tekinolojia na mawasiliano.

 

“Siku hizi ni rahisi sana kwenda sambamba na akaunti yako ya DStv kupitia huduma binafsi za DStv. Unaweza kujua taarifa muhimu kama vile mara ya mwisho ulipolipia huduma yako na lini unapaswa kulipia tena na wapi kwa kulipia”, anaanza kukupa darasa rafiki yako huku wengine wakisikiliza kwa shauku huku wakiangalia saa zao kuona muda unavyokwenda.

DStv2

 

“Ili kuepuka usumbufu na karaha siku hizi unaweza kutambua kiasi cha kulipia na tarehe ya kulipia kifurushi chako kirahisi sana kwa aidha kutembelea http://eazy.dstv.com au kupiga simu *150* 46#”, anakwambia rafiki yako huku akiashiria umpe simu yako. Unafanya hivyo.

 

“Halafu haya mambo yamerahisishwa sana siku hizi. Unaweza kulipia kifurushi chako kupitia Vodacom M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money, Zantel Ezy Pesa, FNB, NMB Mobile, PayPoint, Max Malipo, DStv Customer Centre, SMA Mobile, Mobistock na Ezee Money”, anakutajia majina ya huduma zote hizo na kuwaacha wote wakishangaa anawezaje kuzikumbuka zote kirahisi hivyo.

 

Huku tabasamu likiwa linaanza kukurudia, unamwambia huduma unayopenda kutumia kila mara kulipia. Kirahisi unalipia na kupata uthibitisho wa malipo yako.

 

“Kuna njia mbili za kurudisha huduma yako. Kwanza tunaweza kupiga *150*46# na kufuata maelekezo au kutembelea http://eazy.dstv.com ambapo pia tunaweza kuondoa hiyo “Code E-16 error” hapo”, jamaa anaelezea na kufanya vitu kirahisi kiasi kwamba wote mnajiona watoto wa chekechea. Kumbe mambo ni rahisi hivi.

 

“Kuondoa hii “Code E-16 error, ukishaingia hapa http://eazy.dstv.com unashuka hapa kwenye hii menu unachagua clear error messages. Kama mnavyoona, ni rahisi kabisa na huduma zote za DStv unaweza kuzifanya bila kwenda popote”, anamalizia na mara huduma zimerejeshwa.

 

Kwa bahati au ngekewa ya aina yake, timu ndio kwanza zinaingia uwanjani. Ilikuwa iwe wikiendi karaha lakini kutokana na DStv na huduma binafsi, mambo ni murua tena #HappyPeople

 

 

Be Sociable, Share!

Fear not. Even in the middle of mourning Madiba’s death, DStv is there for you. There is something to cheer you up. It is another week of UEFA Champions League matches DStv. Here are the  fixtures…

unnamed

Be Sociable, Share!

SuperSport- Key Live Events (EPL 30 Nov - 1 Dec 2013)- Blog Banner

Baada ya michuano mikali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya [UEFA Champions League], ni wakati mwingine wa kurejea kwenye English Premium League[EPL] ambayo kama tunavyojua ndio ligi yenye mashabiki wengi zaidi nchini Tanzania na kwingineko duniani.Kinachoifanya ligi hii kuwa tamu zaidi ni kwamba huwezi kutabiri sana kwamba nani atalia au nani atacheka. Lolote huweza kutokea na limekuwa likitokea.

Ratiba ya wikiendi hii ni kama inavyoonekana kwenye picha hapo juu. Sehemu pekee ambapo unaweza kuwa na uhakika wa kushuhudia kabumbu hili bila chenga wala vikwazo ni kupitia DStv pekee. Jumuika na marafiki, ndugu,jamaa na mashabiki wenzako na kufurahia soka.

 

Be Sociable, Share!

MNET DSTV Logo WithTM No Bgr CMYK

  • Premium channels will be opened all week, at no extra charge

For one whole week starting from Monday 11 November to Sunday 17 November, DStv is opening some of its Premium channels, at no extra charge.

 

From DStv Access through to DStv Compact Plus subscribers will get a taste of the best in sensational sports, hit music, entertaining kiddie’s shows, intriguing documentaries and original homegrown content.

 

The best will be saved for last as DStv Family, Compact and Compact Plus subscribers will also have exclusive access to all the M-Net channels on Saturday 16 November and Sunday 17 November, where viewers will get a preview of the latest in world class movies, series, reality and sought after talk shows.

 

This DStv premium week will be filled with leading content from channels such as            AfricaMagic Entertainment, SuperSport, Comedy Central, Animal Planet, BBC Knowledge, BBC Lifestyle, Cbeebies, Crime and Investigation, Discovery channel, Travel Channel, Fox Entertainment, History Channel, MTV Base, MTV and Sky News .

 

The viewing experience during the week will include:

 

  • Great and unforgettable sporting action can be seen on the SuperSport channels where the     line-up includes the FIFA World Cup Qualifiers featuring games between countries such as Ukraine vs France, Nigeria vs Ethiopia, Cameroon vs Tunisia and Senegal vs Ivory Coast. The action also includes golfing excellence at the PGA Tour OHL Classic at Mayakoba as well as high speed and octane at the United States Grand Prix Main Race.

 

  • A variety of programming such as, the 2013 MTV Europe Music Awards on MTV Base,     Oprah’s Masterclass on TLC Entertainment, Remarkable documentaries and reality shows                       on BBC Knowledge including The Day Kennedy Died and Top Gear Australia Season 3. Access to some of the biggest sport stars in STA.RATED! on Trace Sport Stars. Some comic relief can also be expected on Comedy Central in the popular Saturday Night Live Season 39, and The Daily Show.

 

  • Interactive entertainment for DStv’s young viewers on shows such as Wolly and Tig on Cbeebies, some mystery solving in Scooby Doo & Alien Invaders on Boomerang and Mickey Mouse short films entitled Mickey Mouse Shorts on the Disney Channel.

 

  • The best in original African content can be seen on AfricaMagic Entertainment, where viewers can look out for Africa’s Next Top Model, hosted by Africa’s super model Oluchi Orlandi, lifestyle and entertainment news on StarGist, drama series Tenant and Kona. The channel also boasts a variety of original homegrown movies featuring some of the continent’s highly acclaimed actors, which premiere on Saturday and Sunday evening.

 

  • DStv Mobile viewers on the broadcast service in parts of Africa will have access to the following channels: Nigeria – SuperSport 3N and Africa Magic Entertainment, Ghana and Uganda – SuperSport 3A and Africa Magic Entertainment, Kenya – SuperSport 1, 2 and 3A; and finally in Namibia viewers will be able to enjoy SuperSport 1, 2 and the Discovery Channel.

 

Viewers will end the week off with Premium magical entertainment from the M-Net channels, with M-Net at the forefront in offering the best and latest world class shows. There are also great back-to-back shows on the trio of series channels, M-Net Series Showcase, M-Net Series Reality and M-Net Series Zone.

 

Additionally, the family will have a movie for every mood from the 8 M-Net movie channels currently on DStv such as M-Net Movies Premiere, M-Net Movies Comedy, M-Net Movies Family, M-Net Movies Action, M-Net Movies Action +, M-Net Movies Drama & Romance,       M-Net Movies Showcase and M-Net Movies Stars.

 

There is something for everyone and plenty viewing in store, be sure not to miss a whole week of shows and so much more during DStv Premium Open week. For more information on DStv programming, channels and bouquets, visit www.dstv.com

 

Be Sociable, Share!

Soccer is part of our culture. And the English Premium League(EPL) is a big part of that cultural piece. You have your team and I have mine. President Paul Kagame of Rwanda supports Arsenal. President Jakaya Kikwete of Tanzania supports [you mean you don’t know?Seriously?]

Here is the timetable for another weekend full of soccer through DStv. As they say, on DStv is where soccer lives. Go ahead and enjoy with your friends and families.

SuperSport- Key Live Events (EPL 9-10 Nov 2013)- Blog Banner

Here are the matches;

Chelsea Vs. West Brom (Saturday November 9th @5:30pm[East Africa Time]

Liverpool Vs Fulham (Saturday November 9th  @6:00pm [East Africa Time]

Tottehham Vs Newcastle United (Sunday November 10th @2:45pm [East Africa Time]

Sunderland Vs. Manchester City (Sunday November 10th @5:00pm [East Africa Time]

Manchester United Vs Arsenal (Sunday November 10th @7:10pm [East Africa Time]

Be Sociable, Share!

Print

Enjoy your weekend.Enjoy soccer through DStv.

Be Sociable, Share!

SuperSport- Key Live Events (EPL 26-27 Oct 2013)- Blog Banner

Je, unatabiri timu gani zitashinda mechi zao za mwisho wa wiki hii katika English Premier League(EPL)?

Be Sociable, Share!

Baada ya mapumziko kidogo kupisha mechi za kimataifa za kuwania kuingia katika Kombe La Dunia 2014, Ligi maarufu ya nchini Uingereza(English Premier League) inarejea. Kama picha inavyoonyesha, hizo ndizo mechi za mwishoni mwa wiki hii. Mtafute mshikaji au washikaji kisha kwa pamoja burudikeni na soka kupitia DStv

SuperSport- Key Live Events (EPL 19-20 Oct 2013)- Blog Banner

Be Sociable, Share!

SuperSport- Key Live Events (EPL 5-6 Oct 2013)- Blog Banner

Be Sociable, Share!

Kipute cha kuwania Kombe la Mabingwa Ulaya( UEFA Champions League) kinaendelea tena tarehe 1-2 katika viwanja mbalimbali barani Ulaya. DStv, kama kawaida ndio watu pekee ambao wanakuhakikishia uhondo huo Live bila chenga wala kwikwi. Taswira hii hapa chini inayo ratiba kamili

SuperSport- Key Live Events (UEFA 1-2 Oct 2013)- Blog Banner

Be Sociable, Share!

Read the Next Page →

↑ Go Back to Top of Page