BongoCelebrity » Wanawake na Watoto

DO YOU WANNA WORK WITH ALICIA KEYS?
Alicia Keys,a Grammy Award Winner,is hiring. She is looking for a Superwoman to work with her as a blogger for her new site,new venture where she hopes to empower and connect women and help them find their inner “superwoman”.

The new website is, IAAS.com and it is named after one of her most popular song “I Am a Superwoman“. Alicia hopes that through internet she can bring women together to share dreams,goals,struggles and advice. Her dream is to create a neighborhood and an online community dedicated to women.

Are you a superwoman? Do you wanna work with Alicia Keys. Click here to apply.

CELEBRITIES WA TANZANIA WAKO WAPI KATIKA KUTOKOMEZA VIFO VYA MAMA NA MTOTO?
Kila siku huwa napokea hoja,mapendekezo,ushauri kutoka kwenu wasomaji wa BC.Pia huwa napokea maswali mbalimbali.Nikiwa na ufahamu mkubwa juu ya swali lililoulizwa huwa najibu.Ninapokuwa sina jibu,wajibu wangu ni kutafuta jibu ama kwa kuomba msaada kutoka kwenu wasomaji na wachangiaji wa BC au vinginevyo. Leo nimepokea swali ambalo sina jibu kwani swali hili limeelekezwa moja kwa moja kwa celebrities. Mwenzetu mmoja ameuliza swali lililopo hapo chini na mwisho ametoa ombi.

Ningefurahi sana kama angalau celebrity mmoja angejitolea kulijibu. Sio lazima ajibu kama mwakilishi wa celebrities wengine,bali yeye kama mtu binafsi. Asante Allen kwa swali zuri.

Napenda kuwapongeza sana kwa kazi nzuri mnayofanya. Nina swali dogo sana kwa hawa Bongo Celebrity kwamba mbona hatuwaoni wakiwa mstari wa mbele katika kuhakikisha nchi yetu inapunguza au kutokomeza kabisa vifo vya mama na mtoto vinavyotokana na uzazi.

Mwezi wa kumi na mbili mwaka jana tulishuhudia mwana Mitindo mashuhuri nchini Uingereza Naomi Campbel akifanya onyesho la mitindo pale Movenpick kwa ajili ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kupunguza vifo vya mama na mtoto dunia nzima. Wanamuziki wetu, wanamichezo , wanamitindo na hawa wengine tunaowaita Bongo Celebrity wako wapi katika kuhakikisha nchi yao inafikia malengo ya milenia namba 4 na tano ifikao 2015.

Hongera kwa Stara Thomas kwa kuwa mstari wa mbele kuhakikisha nchi yetu inapunguza vifo vya mama na mtoto kwa kiasi kikubwa. Napenda kuwakumbusha kuwa Tanzania bila vifo vya mama na mtoto inawezekana.

Timu ya taifa ilipocheza na Ivory Cost fedha nyingi sana zilipatikana.

Wachezaji hawa ni matokeo ya kina mama hawa ambao leo wanakufa kutokana na matatizo ya ujauzito. Tunaweza kutumia timu yetu ya taifa kupunguza pia vifo hivi vya mama na mtoto.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni miongoni mwa viongozi wakubwa duniani wanaohakikisha nchi zao zinapunguza vifo vya mama na mtoto.

Nawaombatuungane pamoja kwa kutumia vipaji Mungu alivyotupatia kumsaidia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa tanzania kupunguza vifo vya mama na mtoto kwa vipaji vyetu na umaarufu tulio nao katika jamii yetu.

MAMA ANAPOLIA NA MAFISADI
Ukimuuliza mtanzania yeyote wa kawaida kuhusu tatizo kubwa linaloikabili nchi hivi sasa,jibu utakalopewa ni “ufisadi”. Hili ni tatizo ambalo mpaka hivi sasa linaelekea kuzidi tu kuota mizizi. Viongozi wetu nao wanawanyooshea wengine vidole. Wale wa chama tawala nao wananyoosheana vidole. Wanasema ndani ya chama chao kuna mafisadi wanne tu!Ni kina nani hao?Kama wanajulikana inakuwaje bado wapo?

Hivi ni nani atamfunga paka kengele? Tatizo tumeshalijua. Ni ufisadi. Ni kuporomoka kwa maadili ya ki-uongozi. Kujilimbikizia mali ndio ujanja kwa mujibu wa wale walio kwenye nafasi za kufanya hivyo. Uzalendo leo hii unaishia kwenye bendera na lugha tu. Ukiwaona wanavyokenua utadhani wanakujali. Kumbe wanajiuliza una shilingi ngapi mfukoni ili wazichukue.

Mama Maria Nyerere,mjane wa Baba wa Taifa, hivi majuzi ameuliza maswali ya msingi na kukemea kwa jinsi anavyoweza. Alikuwa huko Hai mkoani Kilimanjaro. Bonyeza hapa usome alichokisema na kuonya. Bidii hizi hazina budi kuungwa mkono. Isitoshe uchaguzi umekaribia.Huu ni wakati wa kusema Imetosha Sasa. Amka na mwamshe mwenzio.

TIBAIJUKA NA MKASA WA KAZI
Miongoni mwa wanawake ambao ni nyota,mfano wa kuigwa na ambao Tanzania inajivunia kuwa nao ni Prof.Anna Tibaijuka. Ni miongoni mwa wale wanawake ambao DaMija huwaitwa “Wanawake wa Shoka”.

Pamoja na hayo,hivi karibuni ulimwengu ulishuhudia cheo alichokuwa akikishikilia pale UN-Habitat yenye makao yake makuu jijini Nairobi-Kenya kikiota mbawa katika mazingira ambao wengi hawajaelewa wala kukubaliana nayo.Miongoni mwa wasiokubaliana na “kushushwa cheo’ kwa Prof.Tibaijuka ni wafanyakazi wenzake.

Je ni kwanini Ban Ki Moon amemshusha cheo mama Anna Tibaijuka wakati hata hivyo mkataba wake ulikuwa unaelekea ukingoni(2010)? Je kuna harufu ya ufisadi? Soma zaidi kwa kubonyeza hapa na kisha tizama taarifa ya habari hapo chini kisha uwe muamuzi.

HAPPY WOMEN’S DAY
Leo ni siku ya Wanawake Duniani(Women’s Day).Ni siku ambayo husheherekea mafanikio na mchango wa wanawake katika nyanja zote za maendeleo ya binadamu iwe ni kiuchumi,kijamii au kisiasa.Ni siku ambayo inatukumbusha sote umuhimu wa kipekee wa wanawake duniani.Hapa tunawazungumzia mama zetu,dada zetu,wake zetu,watoto wetu,shangazi zetu,binamu zetu,majirani zetu wanawake,marafiki zetu,maadui zetu nk.

Mwanamuziki maarufu kutoka nchini Marekani,James Brown, aliwahi kuimba “It’s A Man’s World but It Would Be Nothing Without a Woman”. Hilo halina ubishi.Dunia tuionayo leo kama dunia,inatokana na mchango mkubwa wa wanawake.Dunia si dunia bila mwanamke.Haipo.

BC inaungana na wote katika kusheherekea siku hii na pia kuwasihi wanawake,popote pale ulimwenguni, waendelee kufanya ambacho wamekuwa wakikifanya tangu mwanzo wa dunia hii.Happy Women’s Day.

Mtizame James Brown na Luciano Pavarotti hapo chini wakiimba Its A Man’s World.Mungu azilaze roho zao mahali pema.

MH.SOFIA SIMBA;UNAMSHAURI NINI?
Pichani ni Mheshimiwa Sofia Simba,ambaye hivi karibuni alichaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Wanawake wa CCM nchini Tanzania.

Mheshimiwa Simba alichaguliwa katika uchaguzi ambao unasemekana ulikuwa wenye upinzani mkali katika historia ya jumuiya hiyo.Alishindana vikali na Mh.Janeti Kahama.

Kama zilivyo chaguzi nyingi kinachofuata baada ya vuta nikuvute huwa ni kazi.Je unadhani ni matatizo gani ya msingi yanayowakabili wanawake wa Tanzania?Ungependa kumpa ushauri gani Mh.Sofia Simba kuhusiana na Jumuiya anayoiongoza?

ANASEMAJE FLAVIANA MATATA?
Kwa wengi,nchini Tanzania na duniani,anabakia kuwa mrembo kutoka nchini Tanzania aliyeiwakilisha nchi yake katika shindano la dunia la Miss Universe mwaka 2007 na kuwa mshiriki wa kwanza aliyeamua kulipanda jukwaa akiwa kipara.Kwa wengine,wakiwemo ndugu,jamaa na marafiki zake,anabakia kuwa Flaviana Matata.

Hivi karibuni alilivua rasmi taji lake la Miss Universe Tanzania 2007 baada ya kulitumikia kwa muda wa mwaka mzima.Tulipata nafasi ya kuongea machache na Flaviana baada ya kumkabidhi rasmi mrembo mwingine,Amanda Sululu, taji la Miss Universe Tanzania. Hivi tunavyoongea tayari Amanda yupo nchini Vietnam tayari kabisa kwa shindano la Miss Universe litakalofikia kilele nchini humo tarehe 13 Julai mwaka huu.

Sasa kama sote tujuavyo,mwaka sio kitu kidogo.Mambo mengi hutokea,mengi huweza kusemwa nk.Je ni yapi aliyapitia ndani ya mwaka mmoja alipokuwa akishikilia taji la Miss Universe Tanzania 2007? Na si unakumbuka ule mkasa wa kuzimia siku ya kupima ukimwi?Nini hasa kilitokea?Ni kweli alikuwa anaogopa kupima afya yake?Ana mipango gani hivi sasa? Anampa ushauri gani Amanda na pia vijana wenzie? Kwa hayo na mengineyo mengi,fuatana nasi katika mahojiano yafuatayo;

BC: Flaviana,karibu tena ndani ya BC.Tunafurahi kupata tena fursa hii ya kufanya nawe mahojiano.Mambo yanakwendaje?

FM: Mambo poa kabisa BC.Nafurahi pia kuwa hapa tena.

BC: Kwa kuanza na kwa kifupi tu unaweza kutueleza nini kuhusu safari yako tangu ulipotwaa taji la Miss Universe Tanzania mwaka jana,kwenda Mexico mpaka hivi karibuni ulipolivua rasmi taji la Miss Universe Tanzania nk? Ni jambo au tukio gani ambalo unadhani hutolisahau kamwe?

FM: Kwanza namshukuru Mungu nimemaliza salama. Nimejifunza mambo mengi sana. Sintosahau muda wote niliokuwa Mexico City na washiriki wenzangu.Wakati mwingine huwa huwa natamani ijirudie.

BC: Mtu unapokuwa maarufu lipo jambo moja ambalo huwezi kulikwepa;vyombo vya habari.Kwa upande wako unasemaje kuhusiana na uhusiano ambao umekuwa nao na vyombo vya habari kwa wakati wote ulipokuwa unashikilia taji la Miss Universe Tanzania?Je kuna lolote ambalo unadhani vyombo vya habari vili-ripoti visivyo na ungependa kuliweka sawa hata baada ya kulivua taji?

FM: Namshukuru Mungu sijaharibu kwa kweli ingawa wakati mwingine waandishi wa habari huwa wanaandika mambo yasiyokuwa na ukweli ndani yake.Hata hivyo mimi husema pengine hiyo ni moja ya kazi yao.Kimsingi, vyombo vya habari ndio vinavyonyanyua na kuchafua pia.Hivyo ni ngumu sana kuelezea ingawa nina imani hili linafahamika.

Jambo ambalo ningependa kuliweka sawa ni kuhusu kilichotokea siku ya uzinduzi wa upimaji ukimwi pale Mnazi Mmoja.Jamani mimi hamna mtu aliyenilazimisha kwenda pale siku ile. Niliamua mwenyewe na nilikuwa najiamini. Sasa nilisikitika pale nilipozirai(faint) watu wakaandika habari tofauti.Mimi ni binadamu, pale kulikuwa na jua kali na msongamano wa watu mkubwa kiasi kwamba hewa ikawa haitoshi. Ile ni hali inayoweza kumtokea mtu yeyote.Hivyo basi nakanusha usemi uliovuma eti nilizirai kutokana na hofu ya kupima.Nilikuwa najiamini na ndio maana nikawa pale. Isitoshe walikuwa hawamlazimishi mtu kupima.

BC: Kama sote tunavyojua,hivi karibuni umemkabidhi rasmi mrembo Amanda Sululu  taji la Miss Universe Tanzania.Ukiangalia nyuma tangu ulipolitwaa taji hili,unaweza kusema,umejifunza mambo gani ya msingi kuhusiana na masuala ya urembo,mavazi na kwa ujumla maisha ya ki-superstar?

FM: Kwanza kila la kheri Amanda. Tumuombee maana kazi iliyopo mbele yake siyo ndogo.Kabeba Taifa huko anakokwenda.

Kuhusu kujifunza,nimejifunza mengi sana ila kikubwa nimegundua Tanzania bado tupo nyuma sana kwa suala zima la fani ya mitindo.Wanamitindo(models) wetu bado hawathaminiwi na kwa upande mwingine wao ndio chanzo cha yote maana hawajitambui na kutetea haki zao.Unajua Model ndio anabeba show ila ukisikia hela designers wanazotoa hapa ni aibu kiasi kwamba hata kwa bahati mbaya model kiatu chake kikikatika stejini haitoshi kununua kingine.Hii ni tofauti kabisa na nchi zingine ambapo mchango wa model unathaminiwa vilivyo.Kwa upande mwingine ni muhimu kwa models wenyewe kujipanga na kuweka mikakati mipya.Wenzetu wapo mbali sana jamani.

BC: Je ungejua wakati ule(yaani mwaka mmoja uliopita) unayoyajua hivi leo, kuna lolote au yoyote ambayo ungeyafanya tofau

FM: Ujue nini BC, mimi naona nipo sawa tu.Muda ndio utaongea(time will tell).Naamini sijachelewa bado.

BC: Ipo dhana au fikra miongoni mwa watu wengi kwamba ili kuwa model ni lazima mtu awe mwembamba,mrefu na mambo kama hayo.Unadhani fikra hii inatokana na nini na ungependa kuwaambia nini wote wenye fikra kama hiyo?Ni kweli kwamba model ni lazima awe hivyo?

FM: Noooooooo. Unajua kuna models wa aina tofauti.Watoto,wazee na vijana.Wakati mwingine unakuta mtu anataka fanya tangazo na mtu mnene sasa hapo huyo mtu(mnene) tayari ni model mpaka hapo.

Pengine kutokana na ukweli kwamba models wengi waliozoeleka na kutumika zaidi ni wale wenye maumbo kama yangu ndiyo inayosababisha watu kuwa na fikra za namna hiyo.Ukweli ni kwamba mtu yeyote anaweza kuwa model na kutumika kwa kazi anayohitajika nayo.Kwa hiyo hizo ni fikra potofu.

BC: Kama mtanzania mwingine yeyote,tunadhani ungependa kuona siku moja mataji maarufu ya ulimbwende duniani kama hili la Miss Universe,lile la Miss World na mengineyo yanakuja Tanzania.Sasa tukizingatia uzoefu ambao umeupata, unadhani nini kinaweza au inabidi kifanyike ili kuona mmojawapo miongoni mwa warembo wetu anatwaa taji hilo? Una ushauri gani kwa Amanda?

FM: Kwa kweli kazi bado ni kubwa ila nina imani kwamba ipo siku mataji yatakuja tu. Kinachohitajika ni waandaaji wawe makini sana katika selection zao na waandae warembo vizuri kwa kila kitu hususani suala zima la mavazi maana mrembo kama mrembo hawezi kujitosheleza kwa kila kitu.

Pili warembo wenyewe inabidi wajitume sana wanapokua kwenye mashindano maana kule wanakuwa wengi inabidi kufanya juu chini kuwavuta majaji.

Kwa upande wa Amanda naweza sema ana kazi kubwa sana maana nina imani watu wanasubiri kuona atafanya nini hivyo she has to work hard  ili tuzidi kupanda.Mimi kama mimi namtakia kila la kheri na namuombea afanye vizuri zaidi ya nilivyofanya.

BC: Hatuna uhakika kama wengi wamekuiga wewe lakini tumegundua kwamba tangu utoke na style ya kipara au nywele fupi, wasichana wengi nao siku hizi wanatoka na mtindo huo kwa upande wa nywele.Kama kuna ukweli wowote kwamba wengi wamefuata nyayo zako,unajisikiaje kuona mabinti wengine wakifuata nyayo zako?

FM: Mitego hiyo BC.Anyways,unajua kila fashion daima huwa ina mwanzilishi.Huku kunyoa nywele nakumbuka alianza Miriam Odemba,Irene Ngowi kisha Irene Kiwia na wengineo japo watu hawakutokea kunyoa kama ilivyo sasa.Siwezi kusema lolote zaidi kuhusiana na hili ila ninafurahi kuona nimehamasisha wengi kama kweli ni hivyo haaaa….haaa….

BC: Kama msichana/mwanamke ni wazi kwamba yapo matatizo yanayowakabili kina mama na watoto ambayo yanakukera na ungependa kuona yakipatiwa ufumbuzi.Kwa upande wako matatizo hayo ni yepi na ungependa kuona nini kinafanyika kuyatatua?

FM: Ni mengi mno na siwezi yataja yote kwa sasa. Ila linaloniumiza zaidi ni suala la watoto yatima na watoto wa mitaani. Ninaumia sana ninapoona mtoto anataabika na asipate msaada wa uhakika kutoka serikalini au kwa wanajamii.

Hata hivyo nina imani kwamba tukijipanga vizuri watoto hao wanaweza pata msaada na tunaweza punguza tatizo hili.Tunahitaji kujitolea zaidi katika kuwasaidia watoto katika kuwapa elimu na nafasi mbalimbali za kimaisha.

Flaviana Matata akiwa na watoto siku ya kusheherekea Siku ya Mtoto wa Afrika hivi karibuni jijini Dar.Shughuli hiyo iliandaliwa na Tanzania Mitindo House(TMH) inayoongozwa na Khadija Mwanamboka.

BC: Kwa mwaka mzima ni wazi kwamba umepata fursa ya kufanya kazi mbalimbali na watu mbalimbali.Unalo lolote ambalo ungependa kuwaeleza

FM: Popote nitakapokuwa sintokisahau kituo cha watoto SOS Village ambacho mimi ni balozi wao,Compass Communications (Waandaaji wa Miss Universe Tanzania),Mheshimiwa Yusuph Makamba,Khadija Mwanamboka na wengine wengi ambao tumeshirikiana katika sughuli mbalimbali ambazo ni ngumu kuzitaja zote.

Pia shukrani nyingi kwa vyombo vyote vya habari vyote ikiwemo BC,Michuzi blog na wengine wote. Muhimu kabisa shukrani kwa watanzania wote kwa ujumla kwa support yenu.Nawashukuru wote kwa pamoja kwa support yenu,Mungu awabariki.Sina cha kuwalipa zaidi ya ASANTE na mzidi kuniombea ili nizidi kufanikiwa.

BC: Labda swali ambalo kila mtu angependa sana kukusikia ukilijibu ni kwamba, nini mipango yako sasa baada ya kulitua taji la Miss Universe Tanzania?

FM: Haaaa….haaaa….najua hili ni swala ambalo kila mtu anajiuliza ila tuwe na subira. Hivi karibuni mtajua nitakuwa wapi na nitakuwa nafanya nini.

BC: Flaviana,asante kwa muda wako.Tunakutakia kila la kheri katika kazi zako.

FM: Asante sana na karibuni

BC Inapenda kuchukua nafasi hii kumtakia Flaviana Matata kila la kheri katika kazi zake.

JAJI EUSEBIA N.MUNUO
Miongoni mwa wanawake wanaofahamika na kuheshimika katika fani ya sheria nchini Tanzania ni Jaji Eusebia Nicholas Munuo(pichani).Hivi leo yeye ndio Makamu wa Rais Mteule wa Chama Cha Majaji Wanawake Duniani(IAWT).Mbali ya cheo hicho,Jaji Munuo pia ndio Mwenyekiti wa Chama Cha Majaji Wanawake nchini Tanzania(TAWJA).Yeye ndio Hakimu wa kwanza mwanamke nchini Tanzania na pia Jaji wa kwanza mwanamke katika Mahakama ya Rufaa nchini Tanzania.

Miezi kadhaa iliyopita Jaji Munuo alifanya mahojiano maalumu na mwandishi Happy Katabazi kuhusiana na mambo mbalimbali ya kijamii,kisheria na pia kumhusu yeye binafsi.Je ni kweli kwamba Jaji huyu aliwahi kuamuru kwamba mumewe atiwe ndani kutokana na kuidharau mahakama?Ili kupata jibu la swali hilo na mengine mengi kumhusu Jaji Eusebia Munuo,bonyeza hapa uitembelee blog ya Happy Katabazi.

Photo/Happy Katabazi

ZEZE NA MWANAMBOKA
Mbunifu wa Mitindo maarufu,Khadija Mwanamboka, akiwa pamoja na Shamim Zeze,mmiliki na mwendeshaji wa blog ya 8020 Fashions,hivi karibuni jijini Dar. Khadija Mwanamboka ni miongoni mwa waanzilishi wa shirika lisilo la kiserikali lijulikanalo kama Tanzania Mitindo House ambalo linajaribu kusaidia watoto yatima na wasiojiweza nchini Tanzania. Mwaka jana tuliwahi kuongea kidogo na Mwanamboka kuhusiana na TMH.

HAPPY MOTHER’S DAY TO OUR SWEET MOTHERS.
Katika nchi nyingi za magharibi,leo ni Mother’s Day au kwa maneno mengine Siku ya Mama.Leo ni siku maalumu ya kumkumbuka,kuutambua na kuuthamini rasmi mchango wa mama yako katika maisha yako.Huu ni utamaduni wa kimagharibi ambao unazidi kuenea kwa kasi ulimwenguni kote zikiwemo pia nchi zetu za kiafrika.Sasa hii sio kumaanisha kwamba katika siku zingine usimkumbuke,usiutambue wala usiuheshimu rasmi mchango wa mama yako.La Hasha!Kila siku,kwa walio wengi, ni siku ya mama. Kwetu sisi waafrika ndio kabisaa.Ndio maana kuna ule usemi kwetu wa Nani Kama Mama?

Itumie siku ya leo kumkumbuka mama yako.Kama kwa bahati mbaya alishaiaga dunia,basi chukua muda maalumu kumkumbuka,kumuombea na muhimu zaidi kumuenzi.Kama upo karibu na mama yako,basi mkumbatie na umkumbushe kwamba unampenda na unamtakia kila la kheri katika maisha.

Ni muhimu pia kukumbuka kwamba, kama binadamu,huwa inatokea wakati mwingine tukakosa kuelewana.Ndio.Huwa inaweza kutokea tukakosa kuelewana hata na mama zetu! Kama hali ipo namna hiyo katika maisha yako,itumie siku hii kusameheana na kuweka mambo sawa  na mzazi wako.Jinsi moja nzuri ya kuweza kusamehe ni kujiuliza swali;Je kuna ulazima au manufaa yoyote ninayoyapata kutokana na kutokuelewana huku? Usiwe mgumu wa kusamehe ili nawe upate kusamehewa.Sote tunakosea katika maisha.Kama leo basi ni kesho.Usisite kutenda lililo jema leo.

Katika kuisindikiza siku hii,tumekuchagulia wimbo maalumu kutoka kwa mwanamuziki mkongwe wa nchini Nigeria, Prince Nicco Mbagga.Wimbo unaitwa Sweet Mother. Huu ni wimbo maalumu kwa kina mama wote.Kinamama,tunawapenda na tunawathamini.Bila ninyi dunia si dunia.Bonyeza player hapo chini upate burudani,sikiliza ujumbe uliomo ndani ya wimbo.Happy Mother’s Day!