CONSUMER’S DIRECTORY

Ukurasa huu bado unafanyiwa uchunguzi(Still Under Research).Tunahitaji msaada wako pia kwa sababu wewe ndio mtumiaji;

Je, ni sehemu gani unayopenda kwenda au uliwahi kwenda ukafurahia na kuridhishwa vilivyo na huduma zao,mandhari au chochote kingine kilichokuvutia? Tunazungumzia sehemu za starehe,sehemu za maakuli(lunch,breakfast,dinner au hata brunch) kwani ukurasa huu ni maalum kwa ajili ya kukupa wewe mtumiaji nafasi ya ku-share na wenzako sehemu nzuri.

Sharti ni moja tu; sehemu hiyo iwe ni ndani ya Tanzania.Tuandikie kupitia bongocelebrity at gmail dot com au info at bongocelebrity.com. Kwenye subject weka Places to Go. Asante kwa ushirikiano wako.

Copyright © Bongo Celebrity