UMEZISOMA HIZI?
Je umezisoma interview tulizofanya na celebrities hawa? Kama bado bonyeza tu juu ya jina la celebrity umpendaye au utakaye kumsoma na moja kwa moja utapelekwa kwenye ukurasa wenye mahojiano tuliyofanya naye. Zingine sio interview kamili bali historia nzima ya maisha yao. Karibu.
Jacquiline Ntuyabaliwe –K-Lyinn.
Abdallah Mrisho on Magazeti ya Udaku
Major Alexander Nyirenda(R.I.P)
Maggid Mjengwa on Kwanza Jamii
Juma Nature-Tugawane Umasikini
Jeff Msangi-My Interview by Freddy Macha
92 Responses to “UMEZISOMA HIZI?”
Leave a Reply


hongereni kwa kazi nzuri sna mnayoifanya.mimi nilikuwa nasugested kwenye bongo celebrity mkaweka hata mawaziri au hata kama sio waziri basi mtu yoyote ambate mchango wake unaonekana katika jamii peolpe lakini hellen bijo bisimba,Anna Tibaijika, salama kikwete , mama mkapa,hata vikundi vya maigizo ngoma utamaduni kama sisis tambal, jumba la dhahabu.wasanii kama Johari, Kanumba.hata wainjili kama kina rose Muhando, Upendo Nkone kwa sababu wote wana play big role kebye jamii,mbali na hilo pia ni njia ya kutangaza kazi zao katika jamii.asante nawatakia kazi njema.
Ninapendalea sana kucheki picha za maisha ya wanyama hasa zikiwa ni za video, za mgando nazo nazipenda lakini siyo kama za vi9deo
yo tight brother! the mass is behind u. just roll on da dice no matter wt they do!
hongereni sana kwa hii mavituz yenu,mm napenda mfukue hadi muwapate ma-shemale wa hapa hapa bongo na watoe addres zao watu wawasiliane nao,yani hiyo itakuwa mwake sana,jaribuni kuwatafuta muwaweke pic zao humu muone jinsi mtakavyopata wasomaji kibao humu,Big Up
keep it well ISSA,your very portential person in this modern tanzania.Actually if vijana knows where to browse your work i`m sure they could enjoy a lot.Keep it up men.Idedicate to work on society (youth)SO
work hard to advise the young guys to stop drugs and sex maniac as to finish the problem of AIDS SCOGE.
Tunashukuruni sana kwa kutuletea habari nzuri na zenye kuvutia na za kutufanya tujue habari za watanzania wenzetu….just wanna say BIG UP SANA
this iz fantastic ….i like it
mambo vp bongo celeblebrity?mim ushauri wangu kwenu,jitaidini kuboresha kazi zenu ila kiwango mlicho fikia kusema ukweli kibongo-bongo mnatisha ile mbaya wa2 wangu,alafu ki2kingine vp mbona page zingine zinakuwa azifunguki?au ni mimi mwenyewe?n-wayz big-up sana
Jamani wahusika wa Celebrity mpo juu ila fanyeni kazi ya kumtafuta FINA MANGO wa clouds mmuweke umu ndani na mmuoji kama wakina lady jay dee wau yule dada aliyekuwa Matron wa miss Vodacom 2007 Fancy Nkuhi napenda niwajue undani wao may be naweza nikaishi style zao wanazoweza kuishi.sio nusu nusu hapana.Asanten
Haswa Mdau wa hapo juu,Mimi pia nina hamu sana ya kusoma undani wake na maisha yake kwa ujumla,Fina Mango ata uyo Dada aliyekuwa Matron wa Miss TZ 2007,Fancy.Napenda sana kazi zao.Bongocelebrity kazi yenu nzuri sana.Ila watafuteni hao watu jamani.
This is more than the best……
BC big up!!!!!!!!!……
Hongera sana dada!!!
kazana na kazi yako
big up Aisha
Mum
i find charles hirary interview full of joy. this guy is talented
Big up Wandugu,naomba nijue habari za mlimbwende Happiness Magesse,
Wasandeni saana,
BIG UP KWA KAZI MNAYO IFANYA MIMI NAKUABALINA NANYI KWA MATUKIO AMBAYO MNAKUA MNATUHABARISHA KILA SIKU KUHUSIANA NA YALE YANAYO TOKEA DUNIANI..BIG UP NI HAYO TUUUUUUUUUUUUUUU, IM GREYGORY HENRY TZ
Its gud!
We are getng difrnt newz from BC.
Ni hayo 2, ma Bro & Sis!!
GOD Bless U ol….!!!!!!!!
BC is it possible to have Nancy Sumari in the house? Pleaseeee!!!,i real like that girl.
picha zenu chache
kwa bkog kuwa nzuri picha ni muhimu. co mbaya mwanzo mzuuri. muwe mnashurika.
hey u got be so squeezing hard guys ok
wajameni vipi kuhusu huyu celebrity wetu aliyeko big brother mtamuhoji lini tujue habari zake
namzungumzia latoya
amefanya nini latonya
good job fanyeni juu chini mtuletee mpaka rais wa jamuhuri
kuliloni latoya kutoka mapema kiasi hiki?
Fetty fanya if pocbo ht kesho uniwekee ile last enterview waliyoifanya akina B12 na Chidd Benz. Do that m2 wangu!
Nimefalijika sana na comments za waliotangulia ila kwangu na kuja kiaana nyingine kuhusu nchi yetu inakoenda,ni pale wanajamii wengine wanaishi kwa shida na wengine wanafulahia maisha kama wako peponi.
Agenga; Albino
Unajua ukianza kujiuliza kuhusu suala la maalbino utaona ya kuwa wanaonewa sana na wanawanyanyapaa maana sasa kwenda shule inakuwa shida kutembea peke yake shida.
kwa maantiki hiyo viongozi wahusika na jamii kwa ujumla wanabaki kushangaa wakisikia tu albino kakatwa viongo hiyo nikila siku au kila kukichwa.
wahusika wakiachiwa huru, hatua hazichukuliwi upazavyo.
Chanzo cha mauaji kikianzia kwa waganga wakienyeji na watu wanaoshawishiwa na waganga wakienyeji upata viungo vya
albino utakuwa tajiri kama utaleta tukikufanyia dawa,au wenye migodi ya madini wakifanya hivyo.
sasa serikali ipige marufuku waganga wakienyeji kufanya shughuli zao.
Jamii ielewe Albino ni watu kama sisi tusie kuwa ugonjwa wa ngozi.
Jamii ieleimishwi kuhusu mauaji ya albino ili yasifanyike hapa nchini,tuwena ushirikiano kukomesha mauaji ya albino.
serikali kwa ujumla iwe na msimamo zabiti wakutembea nchi zini kuelimisha jamii ielewe kuwa albino viongo vyao si dili kama wanavyosema.
kwa maitiki hiyo elimu ikifika kwa jamii na walengwa basi hapata kuwepo na mauaji.
muhimu sana waganga wakienyeji watukiwe sheria ambayo itawabana pale akipatikana na hatia ya mauaji ya albino kwa anyongwe au wafungwe maisha na asifanye tena shughulli ya uganga.
kuwepo na utaratibu wakuwafatilia waganga wakienyeji kama wanavyofanya TRA kufatilia kukusanya kodi.
Mkereketwa
Haji fuko
P.O.BOX 42125
Dar es salam
Tanzania
WEKA PICHA UUZE BLOG NDUGU YANGU.
OTHERWISE U GAT A GUD AIDIA.
mzuka kaka,unafanya kazi nzuri sana na unastahili pongezi coz blog yako nio ya ukweli, kaza buti safari bado ndefu. Endelea ku2pa burudani wa2 wako,kazi njema
mambo vipi huko?
mdau nimefurahi kusoma kusoma mahojiano kati yako na dina wa ukweli zaidi yao naomba fanya iwezekanavyo umpate gea habibu nitafurahi zaidi,otherwise kazi nzuri na imetulia sanaaa big up.
thanx
yap kazi yenu ni njema
Yap ur work is good
mambo yenu ni mazuri
Kweli hawa wasanii wanafanya kazi nzuri sana.wananikumbusha majina ya watu maarufu sana.1 Mzee Jongo,mzee kipanya,Obama,na Mjololo Ng,ughuya hawa ni watu maarufu sana katika utendaji wa kazi za ujenzi wa Taifa,nafikiri wote mnawahamu
Big Up
dah! aise nawapa big up cz i real lyk kazi yenu kazeni buti au c o!
MAZEEE KOMAENI SANA GAME NI TIGHT AU VIPI????
IT IS NICE TO ALL
Unajua ni vea mnapotuwekea mahojinao yanatusaidia hata siis amabao kusikiliza radio ni isshu
ahahaha kazen buti na muwalete wengi na wengi
ONGEZENI WAHOJIWA WENGINE BASI MBONA WAKO WENGI TU WANAMUZIKI WA DANSIHATA WALIOTANGULIA MBELE ZA HAKI SO MBAYA TUKIJUA HISTORIA ZAO MFANO MARIJANI,JERRY NASHON DUDUMIZI,JOSEF MULENGA[NINGEPENDA KUIONA PICHA YA MULENGA MAANA NASIKIAGA TU SIFA YAKE KTK UPIGAJI SOLO GUITAR PLIIIIIIZ IF POSSIBLE
Yap kazi yenu nimeikubali mt2 wangu big up sanaaa.Ongezeni bidii sana kuelimisha jamii.
hi mie nataka kujua habari za mwanamitindo belina mgeni pllllllllllllllllls
JAMANI MBONA TUKI CLICK ILI TUZISIKIE NYIMBO HATUZIPATI INAONESHA FILE NOT FOUND?ZIRUDISHENI TUBURUDIKE
video tunaziona tatizo ukiplay zinakata kata tunaomba ufumbuzi ili tuburudike.
Mimi ninayemfagilia ni Dr. Slaa,kwani ni mchango mkubwa sana anauleta wa kuwafichua mafisadi.Mamba mengi ya ufichuzi wa mafisadi hufichuliwa na mwanaume huyu.Hata kama utaandamwa sana na wanasiasa,usiogope kwani sheria ndiyo itakutetea,na ukimuabudu Alla subhana wataala atkunyooshea njia ili ukae sehemu ambayo wewe utakuwa mwamuzi wa kutoa amri zote za nchi.mimi nipo tayari kukupa uraisi kwani najua wewe utakua mtetezi wa wanyonge.
ninayemfagilia Dr. Slaa kuwafichua mafisadi na mtetezi wa wanyonge.
katika cv yake hajaonyesha prof alipataje.
pili sera zake zinajionyesha kuwa na udini hivyo basi tunaogopa kumchagua
ni bora tusiwe na viongozi mana ni wizi mtupu hata akitawala nani hali bado itazidi kuwa mbaya tu mana viongozi wa sasa wanataka kula na sio maendeleo
wasanii wa kibongo miyeyusho
ila wkwze buti
Game title
amen
HONGERA SANA DR.MENGI WA UWA NA MOYO WA UJITOLEA WA WATANZANIA NA MSIMAMO NA UJASIRI WA KUWAFICHUA MAFISADI MUNGU AUTIE NGUVU UENDELEE HIVYO.BY NURU WA MIKOCHEN
naonmba ututaftie mambo ya JOTI na Mr.MPOKI
BIG UP SANA…
yanga kuna vitu vingi vya kufanya ili club mwisho wa siku wapate faida ya kutosha nina Bussines plannig ambazo end of the day will be there kama mnahitaji changamoto hizo nijibuni ili tuweze kuiwezesha clib ifike ktk hali ambayo wengi ndio lengo letu
yanga kuna vitu vingi vya kufanya ili club mwisho wa siku wapate faida ya kutosha nina Bussines plannig ambazo end of the day will be there kama mnahitaji changamoto hizo nijibuni ili tuweze kuiwezesha clib ifike ktk hali ambayo wengi ndio lengo letu my email llink17@gmail.com
kama vp mpo juu japo msibweteke
BELLE 9 IN SHORT UR VERY TIGHT IN GAME BUT CONCETRATE IN BOOK MUCH OF UR TIME COZ ONLY EDUCATION WILL REMAIN CONSTANT TO UR LIFE BIG UP A LOT DOGO
Nimefurahi sana kwamba kmbe Bongo kuna ma-Celebrities wazuri, ..lakini….mbona hamjatutafuta sisi Ma “SERVANTS OF GOD” ambao pengine we are more celebrity kuliko mtakavyoweza fikiria. Sasa hivi Watu wanaomiliki magari PEKEE yasiyokuwapo duniani, ni sisi nikupe mifano miwili tu kati ya mingi sana.
Nenda pale Ubungo (Ministry ya kuleta Misukule) ukaone magari pekee Tanzania,each one 870 milion!!
Nenda Efatha Ministry kaone magari 1200Mill each!!
Katika hao macelebrity wa Bongo kuna mmoja wao anamiliki gari kama hilo??
God loves you>
sasa hivi Babu Seya akitoka Lupango atakuwa more and more Celebrity, kwani tayari kamgeukia Mungu (ukitaka habari zake zaidi nikong’oli 0754 942779)
amefungua chuo cha muziki wa Gospo hukohuko!!!!
je si Hatawika huyoo???? na kwa taarifa yenu ..hauishi mwaka huu Mzee atakuwa mitaani
na kwenya ma-Gospel Tamashaaaz
Stay Blessed
Zerubbabel Asalile
Rita Benchmark anampenda sana Mungu…….sema tu Dunia inamchanganya
Zerubbabel
Jamani bongo cerebrity mbona hamtupi email za wanamusic tunataka kuchart nao na maswali kibao kuhusu game tell us pls ben @ lusaka
ooooooooya kwaukeli mpo hii kinoma mimi kinachonvutia sana nyimbo mnazoziweka tafuteni nazabongo basi.mkopoa ongezeni maujuzi zaidi
mko juu sana.plz naomba muwaweke B12 ‘n’ TID
KIP IT UP
Ebwana wazeiya mpo juu wakubwa. Akili nying utadhan kinyonga. Keep the stone rollin. Am out!!!
fuatilieni na maswala ya michezo ikibidi.
umoja ni nguvu utengano ni uzaifu ———- tuna nyundo na jembe
Mbona hiyo list haiwi updated jamani????????There’s so many people i d like to read of their interviews kama Shose Sinare,Ndumbagwe Misayo,Yvonne Cheryl,Natasha(mama yake na Yvonne)Ummy “Dokii”Wenceslaus,mshindi wa BSS wa sasa,Judge Salama Jabir wa BSS,Renee Lamira,Mh Temba na wengine wengi nikiwakumbuka nitawaandika.
helo pa1 sana pigeni kazi wanangu
maisha yanahitaji kujiamini kwani wanaokatisha tamaa ni wengi by mr Link
big up wana ts gud na mpo juu ile mbaya kip t up
Ebwaana da! bro uko juu, 2ko pamoja.
Nawapa hongera kwa kazi mzuri.
weweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee????????????? Hapo mmeweza mwanangu nafikiri hapo tutafika ongezeni kasi mazee.
KINDLY PLEASE I REQUEST BONG CELE TO SEND AN UPDATE EVENT THROUTH MY EMAIL ADRESS.
REGARD,
CHAKS.
Chakwanda,
In order to receive e-mail alerts just register by clicking “Receive E-mail Alerts” button available on the left hand side of our site.Thank you
hayaaaaaaaaaaaaaaaaa
mrembo mbili,marknigggggga
Hivi hao viongozi wa KKT wanampongeza Rais Kikwete kwa uongozi wake wameuliza waumini maoni yao? au ni maoni ya viongozi wa kkt?unajua Tanzania viongozi wa dini wamesahau majukumu yao nao wamejiunga kwenye siasa zisizo na tija kwa taifa letu MUNGU ATUREHEMU
Ongereni kwa kazi nzuri kikukubwa ushirikiano na maelewano mtafika mbali. chuki na visasa avifai kazini……
Asante Leyla.Shukrani kwa kututembelea.
UPO JUU ZADI YA MAWINGU.THINK UNA MASTER YA HII KITU.NAKUPA BIG UP BUT KAZA BUT USILEWE SIFA
UPO JUU ZAIDI YA MAWINGU SISTER ACTUARY UNATISHA BIG UP SA
jamani naomba nimuone DAIMOND as acelebrity coz kuchukua tuzo za kil award 3 Tanzania co jambo dogo ,he realy work hard though watu huwa hawaishi kusema ME NAKUPONGEZA N ONGEZA JUHUDI UCJISAHAU SAWA :MZAZI KARBU KWENYE PROJECT YE2 OF GNOMIC WORLD u wl happen to lean mor cngz ;halaaaaa
HAYO NDIYO TULIYOKUWA TUNASUBIRI WAPENZI WENGI WA INTER- BIG UP MOLINYO
big upppppppppppppppppp, mtarimbo ina maana gani?
big up ma men ur so amazing yo..
please will u mind if i request u to bring Jo makini here? I wanna know more from this guy men..please am really hungry of this Mwamba.otherwise ur doing great. be blessed
Thank you Ptozi,
Keep paying us a visit,Mwamba will be here soon.
Fides,
Hata sisi hatujui maana kamili.Labda tuwaulize ambao wamewahi kulitumia neno hilo kama vile Jide
hey the thing z rockin but ts nice to deal also with our education centres msinly higher level problems. good job bro
huyu dada Sauda Mwilima amemaliza darasa la saba tu na kuwa mtangazaji.mmmmmmmh!kweli uandishi habari umevamiwa jama