News & Trending

The Road To Success: 30 Habits, Qualities And Secrets

The Road To Success: 30 Habits, Qualities And Secrets

You have chosen to read this post because you want to be more successful. You want to achieve more. You are tired of being a mid-range shooter. It’s about time you start shooting for the moon. For many years, I have enjoyed reading and discussing self-help books, articles, magazines and you name it.Looking at where I am, some people may argue that the knowledge I have acquired throughout the years hasn’t helped me much. I don’t own a ranch in Texas, a vacation home in Florida and a mansion in Bridle Path, Toronto. Of course not. Here is the thing,...

Trending this week

Arts & Culture

MZEE GODWIN KADUMA HATUNAYE TENA.

  Habari za kusikitisha zilizotufikia ni kwamba gwiji la sanaa za maonyesho nchini Tanzania Mzee Godwin Zilaoneka Kaduma hatunaye tena duniani.Habari hizo zinazidi kupasha kwamba mauti imemfika Mzee Kaduma katika hospitali ya Muhimbili alipokuwa amelazwa ajili ya matibabu zaidi.Alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa kupooza(stroke). Msiba upo nyumbani kwake Bagamoyo jirani na Chuo Cha Sanaa Bagamoyo. Heshima za mwisho kwa walio Dar-es-salaam zitatolewa kesho (Ijumaa) saa nne asubuhi habari zaidi zinasema heshima za mwisho kwa marehemu mzee Kaduma kwa walio Dar es salaam zitatolewa kesho saa nne asubuhi hospitali ya Muhimbili kabla mwili wake kusafirishwa kwenda nyumbani kwake Bagamoyo na kisha...